• HABARI MPYA

        Monday, April 16, 2018

        BILA RONALDO REAL MADRID YAICHAPA 2-1 MALAGA ROSALEDA

        Isco akipiga shuti la mpira wa adhabu kuipatia bao la kwanza Real Madrid dakika ya 29 katika ushindi wa 2-1 kwenye mchezo wa La Liga dhidi ya wenyeji, Malaga Uwanja wa La Rosaleda usiku wa jana. Bao la pili la Real Madrid iliyomkosa nyota wake, Cristiano Ronaldo jana, lilifungwa na Casemiro dakika ya 63 wakati la Malaga lilifungwa na Diego Rolandakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: BILA RONALDO REAL MADRID YAICHAPA 2-1 MALAGA ROSALEDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry