Mshambuliaji Robert Lewandowski wa Bayern Munich akimtoka Gabriel Mercado wa Sevilla anayejaribu kucheza rafu katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich timu hizo zikitoka sare ya 0-0. Bayern Munich wanaungana na Liverpool, Real Madrid na Roma kwenda Nusu Fainali baada ya ushindi wa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza nchini Hispania dhidi ya Sevilla ambayo jana ilimaliza pungufu baada ya Joaquin Correa kutolewa kwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu Javi Martinez PICHA ZAIDI GONGA HAPA
TeamViewer Trending: Maguire's Resurgence
-
Harry Maguire's reputation is now arguably higher than at any point since
the summer of 2021, writes Joe Ganley.
49 minutes ago
0 comments:
Post a Comment