Gerard Pique akifurahia baada ya kuifungia Barcelona bao la tatu dakika ya 59 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Roma kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barcelona yamefungwa na Daniele De Rossi dakika ya 38 aliyejifunga baada ya jazi nzuri ya Lionel Messi, Kostas Manolas aliyejifunga pia dakika ya 55 baada ya kazi nzuri ya Samuel Umtiti na Luis Suarez dakika ya 87. Bao la Roma lilifungwa na Edin Dzeko dakika ya 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NFL fans all say the same thing as Commanders clinch first playoff win
since 2006 with last-gasp lucky play
-
NFL fans have all said the same thing after the Washington Commanders won
their first playoff game in nearly two decades over the Tampa Bay
Buccaneers on S...
58 minutes ago
0 comments:
Post a Comment