Kikosi cha Arsenal kabla ya mchezo wa marudiano wa Robo Fainali Europa League dhidi ya CSKA Moscow uliomalizika kwa sare ya 2-2 usiku wa Alhamisi Uwanja wa VEB Arena mjini Moscow nchini Urusi. CSKA Moscow ilitangulia kwa mabao ya Fyodor Chalov dakika ya 39 na Kirill Nababkin dakika ya 50, kabla ya Danny Welbeck na Aaron Ramsey kuisawazishia Arsenal dakika za 75 na 90 na ushei na sasa timu ya Wenger inakwenda Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 6-3 baada ya kushinda 4-1 kwenye mchezo wa kwanza London PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Russell Wilson, Mike Tomlin's Futures Debated By NFL Fans as Steelers Lose
to Ravens
-
The Pittsburgh Steelers 2024 season finished with a five-game losing
streak. Despite a 10-3 start, the Steelers lost four straight games to end
the regular…
46 minutes ago
0 comments:
Post a Comment