• HABARI MPYA

        Sunday, April 15, 2018

        ARSENAL YALAMBWA 2-1 NA NEWCASTLE UNITED ST JAMES' PARK

        Matt Ritchie (katikati) akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Newcastle United dakika ya 68 ikitoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Arsenal Uwanja wa St James' Park katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Arsenal ilitangulia kwa bao la Mfaransa, Alexandre Lacazette dakika ya 14, kabla ya Ayoze Perez kuisawazishia Newcastle dakika ya 29 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: ARSENAL YALAMBWA 2-1 NA NEWCASTLE UNITED ST JAMES' PARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry