Bondia Muingereza, Anthony Joshua akifurahia na mataji yake ya WBO, IBO, IBF na WBA baada ya kuyaunganisha kufuatia ushindi wa pointi kwenye pambano la raundi 10 uzito wa juu dhidi ya Joseph Parker wa New Zealand usiku wa jana ukumbi wa Principality mjini Cardiff, Uingereza. Baada ya kuunganisha taji la WBO kwenye mataji yake ya awali ya IBO, IBF na WBA katika pambano lake la 21 na la kwanza kushinda kwa pointi baada ya Knockout (KO) tupu kwenye mapambano yake 20 yaliyotangulia, taji pekee lililobaki la uzito wa juu ni la WBC ambalo analo Mmarekani, Deontay Wilder PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Why two local hopes could MISS the Australian Open - 'dealing with a issue
that needs some more time'
-
Two home grown stars are racing the clock to be fit for the Australian Open
after withdrawing from key lead-in tournaments this week in Brisbane and
Hobart...
10 minutes ago
0 comments:
Post a Comment