
Monday, April 30, 2018

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imewaongeza Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Z...
YANGA SC KUIFUATA USM ALGER ALHAMISI, MECHI JUMAPILI UFUNGUZI MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKSIHO
Monday, April 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM YANGA SC inatarajiwa kuondoka nchini Alhamisi kwenda Algeria kwa ajili ya mchezo wake wa kwanza wa Kundi ...
MWADUI FC NA MBAO KATIKA SHUGHULI PEVU MTANANGE WA LIGI KUU LEO
Monday, April 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, MWADUI LIGI Kuu ya Vodacom Tanzania Bara itaendelea leo kwa mchezo mmoja tu, Mwadui FC wakiikaribisha Mbao FC Uwanja wa...
SIMBA NA YANGA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA
Monday, April 30, 2018
Winga wa Simba SC, Shiza Kichuya (kulia) akiuchukua mpira kiufundi dhidi ya kiungo wa Yanga SC, Juma Mahadhi katika mchezo wa Ligi Kuu ya...
FERGUSON AMPA WENGER ZAWADI YA KUONDOKEA ARSENAL
Monday, April 30, 2018
Kocha wa zamani wa Manchester United, Sir Alex Ferguson (kulia) akimkabidhi zawadi kocha Mfaransa wa Arsenal, Arsene Wenger maalum kumu...
MESSI APIGA HAT TRICK BARCELONA YASHINDA 4-2 NA KUTWAA UBINGWA WA 25 WA LA LIGA
Monday, April 30, 2018
Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao matatu peke yake dakika za 38, 82 na 85 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Depor...
Sunday, April 29, 2018
SIMBA SC 1-0 YANGA SC
Sunday, April 29, 2018
FELLAINI AIFUNGIA LA USHINDI MAN UNITED DAKIKA YA MWISHO
Sunday, April 29, 2018
Marouane Fellaini akishangilia kishujaa baada ya kuifungia bao la ushindi Manchester United dakika ya 90 na ushei kufuatia kutokea benchi...
REFA NIGERIA AFUNGIWA MWAKA KWA KUTAKA KUPANGA MATOKEO
Sunday, April 29, 2018
KAMATI ya Waamuzi ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imethibitisha adhabu ya Kamati yake ya Nidhamu kumfungia mwaka mmoja, refa Joseph Ogab...
FIRMINO ASAINI MKATABA MPYA LIVERPOOL HADI MWAKA 2023
Sunday, April 29, 2018
Mshambuliaji Mbrazil, Roberto Firmino (kulia) akifurahi na kocha wake, Mjerumani Jugern Klopp baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka mita...
MAN CITY YAENDELEZA SHANGWE ZA UBINGWA ENGLAND
Sunday, April 29, 2018
Kiungo Mbrazil, Fernando Luiz Rosa maarufu kama Fernandinho akikimbia na mchezaji mwenzake, Raheem Sterling aliyeseti mabao matatu ka...
SERENGETI BOYS WATWAA UBINGWA WA CECAFA CHALLENGE U17 BURUNDI
Sunday, April 29, 2018
TIMU ya soka ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imefanikitwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Af...
POLENI NA BUNDUKI YENU FEKI, HIYO NDIYO SIMBAA...
Sunday, April 29, 2018
Mashabiki wa Yanga SC wakiwa wanyonge wakati dakika zinaelekea mwisho za mchezo dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Simba SC walioshinda 1-0 k...
SIMBA SC YAIZIMA YANGA PUNGUFU 1-0…SHUJAA NI ERASTO EDWARD NYONI…BADO POINTI SITA ITANGAZE UBINGWA
Sunday, April 29, 2018
Na Sada Salmin, DAR ES SALAAM BAO pekee la beki Erasto Edward Nyoni limetosha kuipa ushindi wa 1-0 Simba SC dhidi ya mahasimu wao, Yanga S...
MAMBO YALIVYO UWANJA WA TAIFA PAMBANO LA WATANI
Sunday, April 29, 2018
Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wao, Simba leo Uwanja wa Taif...
VIKOSI VINAVYOANZA HADI WA BENCHI SIMBA NA YANGA LEO
Sunday, April 29, 2018
Papy Kabamba Tshishimbi (kulia) na Shiza Kichuya (kushoto) wanakutana tena uwanjani leo TIMU zote mbili, Simba SC na Yanga SC zimeweka ...
SIMBA SC WAWAFUNIKA YANGA NDANI NA NJE UWANJA WA TAIFA
Sunday, April 29, 2018
Mashabiki wa Simba wakitamba Uwanja wa Taifa dhidi ya mashabiki wa Yanga kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya ma...
JUVE WAIPINDULIA MEZA INTER...2-1 BADO DAKIKA NNE WASHINDA 3-2
Sunday, April 29, 2018
Gonzalo Higuain akishangilia baada ya kuifungia Juventus bao la ushindi dakika ya 89 ikitoka nyuma kwa 2-1 hadi dakika ya 87 na kushinda ...
Subscribe to:
Posts (Atom)