Mshambuliaji mkongwe wa Sweden, mwenye umri wa miaka 36, Zlatan Ibrahimovic akifurahia kwenye mazoezi ya LA Galaxy jana baada ya kujiunga nayo rasmi kutoka Manchester United ya England kwa kusaini mkataba wa miezi 18. Ibra anaweza kuanza kucheza Ligi ya Marekani, MLS leo dhidi ya mahasimu wa Los Angeles, LAFC PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Banbridge steals victory in King George
-
Banbridge overhauls long-time leader Il Est Francais at the last fence to
win the King George VI Chase at Kempton.
12 minutes ago
0 comments:
Post a Comment