// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA SC WALIVYOWASILI GABORONE LEO TAYARI KUWAVAA ROLLERS JUMAMOSI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA SC WALIVYOWASILI GABORONE LEO TAYARI KUWAVAA ROLLERS JUMAMOSI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, March 13, 2018

    YANGA SC WALIVYOWASILI GABORONE LEO TAYARI KUWAVAA ROLLERS JUMAMOSI

    Wachezaji wa Yanga wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sir Seretse mjini Gaborone, Botswana leo kutoka Dar es Salaam tayari kwa mchezo wa marudiano Raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Township Rollers FC Jumamosi mjini humo
    Wachezaji wa Yanga wakienda kwenye basi lililofiuka kuwapokea 
    Yanga wanahitaji ushindi wa mabao 2-0 Jumamosi ili kwenda hatua ya makundi 
    Na hiyo ni baada ya kufungwa mabao 2-1 kwenye mchezo wa kwanza Dar es Salaam
    Kiungo Mzimbabwe, Thabani Kamusoko ni miongoni mwa wachezaji waliowasili Gaborone 
    Kocha Mzambia, George Lwandamina anaonekana mwenye kujiamini kuelekea mchezo huo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC WALIVYOWASILI GABORONE LEO TAYARI KUWAVAA ROLLERS JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top