Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pius Buswita akimruka kwa ustadi mkubwa beki wa Stand United, Ally Ally katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-1.
Ally Ally wa Stand United akiwa juu kuwania mpira na kiungo wa Yanga, Yussuph Mhilu
Kiungo wa Yanga, Ibrahim Ajib akiwatoka wachezaji wa Stand United
Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa akipiga shuti huku beki wa Stand, Erick Mulilo akikwepa
Yussuph Mhilu wa Yanga akimdhibiti mchezaji wa Stand ili auwahi mpira
Kiungo chipukizi wa Yanga, Maka Edward akimuacha chini mshambuliaji wa Stand United, Bigirimana Blaise
Mshambuliaji wa Stand united Tariq Seif akipambana katikati ya walinzi wa Yanga, wakiongozwa na nahodha, Kevin Yondan (kulia)
Winga wa Yanga, Emmanuel Martin (kulia) akijaribu kumpita Jisend Mathias wa Stand United aliyelala chini
Kikosi cha Yanga kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
Kikosi cha Stand United kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
Tyson Fury vs. Oleksandr Usyk: Odds, Live Stream & KO, Judges' Scorecards
Predictions
-
Tyson Fury and Oleksandr Usyk put on an instant classic back in May. Now
they'll finish off 2024 with a rematch for the WBA, WBO and WBC
championship belts…
38 minutes ago
0 comments:
Post a Comment