Kiungo wa kimataifa wa Kenya, Victor Wanyama wa Tottenham Hotspur akiwa ameshika tuzo yake ya Bao Bora la Mwezi Ligi Kuu ya England alilofunga kwenye mechi dhidi ya Liverpool. Wanyama amewashinda Danilo, Mario Lemina, Jose Izquierdo (twice), Mohamed Salah, Sergio Aguero na Adam Smith kutwaa tuzo hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Usyk's narrow win over Fury in pictures
-
All the best pictures from Oleksandr Usyk's narrow victory over Briton
Tyson Fury in their thrilling rematch.
39 minutes ago
0 comments:
Post a Comment