Mshambuliaji Mganda wa Simba, Emmanuel Okwi (kulia) akimtoka beki wa Al Masry ya Misri, Ahmed Abdalraof 'Shokry' wa Al Masry anayegalagala chini (kushoto) katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam, timu hizo zikitoka sare ya 2-2
Kiungo wa Simba, Jonas Mkude akimuacha chini Mohammed Emam 'Girindo'
Mshambuliaji na Nahodha wa Simba, John Bocco (kulia) akipambana na beki mzaliwa wa Ivory Coast raia wa Burkina Faso, Mohamed Koffi wa Al Masry
Beki wa Al Masry, Amir Mousa akiwa juu kupiga mpira kichwa
Beki wa Simba, Yussuf Mlipili (kulia) akikabiliana na Ahmed Goma (katikati)
Beki wa Simba, Etasto Nyoni akiwa juu kuokoa dhidi ya mchezaji wa Al Masry
Mshambuliaji Mrundi wa Simba, Laudit Mavugo akimiliki mpira ya Mohamed Koffi
Winga wa Simba, Shiza Kichuya akimtoka mchezaji wa Al Masry
Kikosi cha Al Masry kabla ya mchezo wa jana
Kikosi cha Simba kabla ya mchezo wa jana
Hardcore sports fans all say the same thing about the Hawaii Bowl after
93-year return kick stuns fans
-
The most diehard sports fans searching for live sports to watch on
Christmas Eve, hours before present opening had one choice - South Florida
against San J...
21 minutes ago
0 comments:
Post a Comment