Mshambuliaji Alexis Sanchez anayelipwa Pauni 400,000 kwa wiki Manchester United akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo bao la pili dakika ya 20 ikiilaza 2-0 Swansea City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jionji ya leo Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester, kufuatia kumpasia mshambuliaji mwenzake, Romelu Lukaku kufunga bao la kwanza dakika ya tano PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Saturday, March 31, 2018
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment