// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RASHFORD APIGA ZOTE MBILI MAN UNITED YAICHAPA LIVERPOOL 2-1 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RASHFORD APIGA ZOTE MBILI MAN UNITED YAICHAPA LIVERPOOL 2-1 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, March 10, 2018

    RASHFORD APIGA ZOTE MBILI MAN UNITED YAICHAPA LIVERPOOL 2-1

    Mshambuliaji Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Manchester United ndani ya dakika 10 ikishinda 2-1 dhidi ya Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford leo. Rashford alifunga dakika za 14 na 24, wakati Eric Bailly alijifunga dakika ya 66 kuipatia bao pekee Liverpool PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RASHFORD APIGA ZOTE MBILI MAN UNITED YAICHAPA LIVERPOOL 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top