Beki wa kimataifa wa Hispania, Sergio Ramos akifurahia na mpenzi wake, Pilar Rubio baada ya kupata mtoto wao wa tatu Alejandro aliyezaliwa jana Saa 12:24 jioni akiwa na uziro wa kilogramu 3.1. Ramos alilazimika kuondoka kambi ya timu ya taifa kwenda kuungana na Rubio, mpenzi wake tangu Septemba mwaka 2012 na tayari wana watoto wengine wawili pamoja, Marco mwenye umri wa miaka miwili Sergio Jr mwenye umri wa miaka mitatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Monday, March 26, 2018
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment