Lucas Ocampos akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Olympique Marseille dakika ya kwanza na 57 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Athletic Bilbao usiku wa jana Uwanja wa Velodrome mjini Marseille, Ufaransa katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Europa League. Bao la pili la Marseille lilifungwa na Dimitri Payet dakika ya 14, wakati la Bilbao lilifungwa na Aritz Aduriz dakika ya 45 na ushei kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jalen Brunson Wows Fans as Knicks Beat Pelicans Without Zion, Extend Road
Win Streak
-
The New York Knicks defeated the Zion-less New Orleans Pelicans 104-93 on
Saturday night, led by a standout performance from Jalen Brunson, extending
their…
6 minutes ago
0 comments:
Post a Comment