// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MESSI AKAMILISHA 'HAT TRICK' YA WATOTO, MKEWE AJIFUNGUA MTOTO WA TATU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MESSI AKAMILISHA 'HAT TRICK' YA WATOTO, MKEWE AJIFUNGUA MTOTO WA TATU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, March 10, 2018

    MESSI AKAMILISHA 'HAT TRICK' YA WATOTO, MKEWE AJIFUNGUA MTOTO WA TATU

    Mshambuliaji Lionel Messi ameposti picha hii akiwa na familia yake pamoja na mtoto wake wa tatu, wa kiume aliyezaliwa jana ambaye amempa jina Ciro, akiungana na Thiago aliyezaliwa mwaka 2012 na Mateo mwaka 2015,wote akizaa na mkewe Antonella Roccuzzo. Sababu ya kuzaliwa kwa mtoto huyo, Messi ameondolewa kwenye kikosi cha Barcelona kinachomenyana na Malaga hivi leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI AKAMILISHA 'HAT TRICK' YA WATOTO, MKEWE AJIFUNGUA MTOTO WA TATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top