Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Ubelgiji dakika za 19 na 39 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Saudi Arabia kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Roi Baudouin mjini Bruselles. Mabao mengine yamefungwa na Michy Batshuayi dakika ya 77 na Kelvin De Bruyne dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Banbridge steals victory in King George
-
Banbridge overhauls long-time leader Il Est Francais at the last fence to
win the King George VI Chase at Kempton.
6 minutes ago
0 comments:
Post a Comment