Mshambuliaji mkongwe Gonzalo Higuain akishangilia baada ya kuifungia Juventus bao la kusawazisha dakika ya 64, kufuatia Son Heung-min kuanza kuwafungia wenyeji, Tottenham Hotspur dakika ya 39, kabla ya Paulo Dybala kuwafungia la ushindi wageni kutoka Italia dakika ya 67 wakiwalaza Spurs 2-1 Uwanja wa Wembley, London na kwenda Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa jumla wa 4-3, kufuatia sare ya 2-2 kwenye mchezo wa kwanza mjini Turin PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Scottie Scheffler undergoes surgery after freak accident preparing
Christmas dinner
-
Scheffler was scheduled to compete in the 2025 season-opener, The Sentry,
from January 2-5 over in Hawaii. Yet following the freak accident he will
no long...
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment