Mshambuliaji wa Manchester City, Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 12 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Everton Uwanja wa Goodison Park, Liverpool. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Leroy Sane dakika ya nne na Raheem Sterling dakika ya 37, wakati la Everton limefungwa na Yannick Bolasie dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Banbridge steals victory in King George
-
Banbridge overhauls long-time leader Il Est Francais at the last fence to
win the King George VI Chase at Kempton.
21 minutes ago
0 comments:
Post a Comment