Makamu wa Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Crescentius Magori (katikati) akifuatilia mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba na Al Masry jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 2-2
Hapa ni mkusanyiko wa vigogo wa Simba SC, wakiongozwa na kaimu Rais, Salim Abdallah 'Try Again'
Kulia kabisa ni aliyekuwa Mfadhili wa Simba SC wakati inafika fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993
Hapa ni wakati Al Masry wanaongoza kwa mabao 2-1
Wakifuatilia kwa utulivu mchezo huo jana wadau mbalimbali wa Simba SC, kushoto ni Hajji Sunday Manara
Muslah Al Ruwaih wa pili kushoto akifuatilia mchezo jana
Phallon named Women's Player of the Month
-
Tullis-Joyce caps her impressive first half of the season by winning United
Women’s December prize.
22 minutes ago
0 comments:
Post a Comment