// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); COSTA AFUNGA ATLETICO MADRID YAIBAMIZA 3-0 LOCOMOTIV MOSCOW - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE COSTA AFUNGA ATLETICO MADRID YAIBAMIZA 3-0 LOCOMOTIV MOSCOW - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, March 09, 2018

    COSTA AFUNGA ATLETICO MADRID YAIBAMIZA 3-0 LOCOMOTIV MOSCOW

    Diego Costa akishangilia kwa kuinua vidole juu baada ya kuifungia bao la pili Atletico Madrid dakika ya 47 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Locomotiv Moscow usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Europa League. Mabao mengine ya Atletico Madrid yamefungwa na Saul Niguez dakika ya 22 na Koke dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: COSTA AFUNGA ATLETICO MADRID YAIBAMIZA 3-0 LOCOMOTIV MOSCOW Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top