Bondia Dereck Chisora akimpiga Mfaransa, Zakaria Azzouzi katika pambano loa utangulizi kabla ya pambano la Dillian Whyte na Lucas Browne usiku wa jana ukumbi wa 02 Arenam London. Chisora alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya pili kabla ya kwenda kutaka kuziopiga kavu kavu na mpinzani wake wa muda mrefu, David Haye PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Banbridge steals victory in King George
-
Banbridge overhauls long-time leader Il Est Francais at the last fence to
win the King George VI Chase at Kempton.
12 minutes ago
0 comments:
Post a Comment