Kiungo Mbrazil, Willian akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 25 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Crystal Palace leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Bao lingine la Chelsea limefungwa na Martin Kelly aliyejifunga dakika ya 32, wakati la Palace limefungwa na Patrick van Aanholt dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mount’s emotional message to United fans
-
Mason has reached out to supporters after being ruled out of our upcoming
matches.
36 minutes ago
0 comments:
Post a Comment