Mshambuliaji Michy Batshuayi anayecheza kwa mkoppo kutoka Chelsea akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Borussia Dortmund dakika za 77 na 90 na ushei ikiichapa 3-2 Frankfurt Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund Uwanja wa Signal-Iduna Park mjni Dortmund katika mchezo wa Bundesliga. Bao la lingine la Borussia Dortmund limefungwa na Marco Russ aliyejifunga dakika ya 11, wakati mabao ya Frankfurt yamefungwa na na Danny Blum dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Aston Villa 2-1 Man City: Jhon Duran and Morgan Rogers on target for the
Villans as Pep Guardiola's side fall to their sixth league defeat of the
season
-
JACK GAUGHAN AT VILLA PARK: Aston Villa 2-1 Man City: Manchester City's
dismal run continued at Villa Park as they suffered a sixth league defeat
of the se...
32 minutes ago
0 comments:
Post a Comment