Gareth Bale akifunga bao la tatu kwa penalti dakika ya 51 na la pili kwake katika ushindi wa 3-0 wa Real Madrid dhidi ya wenyeji, Las Palmas baada ya kufunga la kwanza dakika ya 26 kwenye mchezo wa La Liga Uwana wa Gran Canaria mjini Las Palmas de Gran Canaria. Bao la pili la Real Madrid limefungwa na Karim Benzema dakika ya 39 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Banbridge steals victory in King George
-
Banbridge overhauls long-time leader Il Est Francais at the last fence to
win the King George VI Chase at Kempton.
12 minutes ago
0 comments:
Post a Comment