Mshambuliaji wa Azam FC, Mghana Bernard Arthur akiwatoka wachezaji wa Mbao FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara usiku wa jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 2-1
Beki Mzimbabwe, Bruce Kangwa (kulia) akipiga mpira mbele ya mchezaji wa Mbao FC
Mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda akimtoka beki wa Mbao FC, Yussuph Ndikumana
Kiungo wa Azam FC, Frank Domayo (kulia) akiuwahi mpira dhidi ya mchezaji wa Mbao FC
Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akipiga mpira huku mchezaji wa Mbao FC akimtazama
Nahodha wa Azam FC, Himid Mao (kulia) akiondoka na mpira
Mount’s emotional message to United fans
-
Mason has reached out to supporters after being ruled out of our upcoming
matches.
38 minutes ago
0 comments:
Post a Comment