
Saturday, March 31, 2018

Robert Lewandowski akishangilia baada ya kufunga mabao matatu Bayern Munich dakika za tano, 44 na 87 katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Boru...
BALE AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 3-0 LA LIGA
Saturday, March 31, 2018
Gareth Bale akifunga bao la tatu kwa penalti dakika ya 51 na la pili kwake katika ushindi wa 3-0 wa Real Madrid dhidi ya wenyeji, Las Pal...
JESUS AFUNGA BAO TAMU MAN CITY YASHINDA 3-1 GOODISON PARK
Saturday, March 31, 2018
Mshambuliaji wa Manchester City, Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 12 katika ushindi wa 3-1 d...
MTIBWA SUGAR WAENDA NUSU FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP KWA MATUTA
Saturday, March 31, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Mtibwa Sugar imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) baa...
LUKAKU, SANCHEZ WAFUNGA MAN UNITED YAICHAPA 2-0 SWANSEA
Saturday, March 31, 2018
Mshambuliaji Alexis Sanchez anayelipwa Pauni 400,000 kwa wiki Manchester United akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo bao la pili d...
SALAH AFUNGA LA PILI LIVERPOOL YAILAZA CRYSTAL PALACE 2-1
Saturday, March 31, 2018
Nyota wa Liverpool, Mohamed Salah akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi dakika ya 84 ikitoka nyuma kwa bao ...
NGORONGORO YAJIWEKA PAGUMU KUFUZU AFCON U20 NIGER 2019 BAADA YA SARE YA 0-0 NA DRC LEO
Saturday, March 31, 2018
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM TIMU ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes imejiweka pagumu katika kinyang’any...
KUMEKUCHA TUZO ZA FILAMU TANZANIA, RAIS MSTAAFU JK MGENI RASMI KESHO MLIMANI CITY
Saturday, March 31, 2018
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tuzo ya filamu bor...
JKT TANZANIA YAIZIMA PRISONS PALE PALE SOKOINE NA KWENDA NUSU FAINALI ASFC
Saturday, March 31, 2018
TIMU ya JKT Tanzania imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenye...
MKUDE ASAFIRI NA SIMBA SC KWENDA IRINGA KWA AJILI YA MECHI NA NJOMBE MJI JUMANNE
Saturday, March 31, 2018
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM KIUNGO Jonas Gerald Mkude ni miongoni mwa wachezaji waliosafiri na kikosi cha Simba SC leo kwenda Iringa k...
MAKAMU MWENYEKITI AZAM FC APEWA UJUMBE BODI YA OLIMPIKI TANZANIA
Saturday, March 31, 2018
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM MAKAMU Mwenyekiti wa Azam FC, Abdulkarim Amin ‘Popat’ ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Olimpiki Maalum ...
NGORONGORO YAPANIA KUWAZIMA U-20 WA DRC LEO TAIFA
Saturday, March 31, 2018
Na Mwadishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes leo inaanza kampeni za kuwani...
ZLATAN IBRAHIMOVIC ALIVYOANZA KAZI KWA FURAHA LA GALAXY
Saturday, March 31, 2018
Mshambuliaji mkongwe wa Sweden, mwenye umri wa miaka 36, Zlatan Ibrahimovic akifurahia kwenye mazoezi ya LA Galaxy jana baada ya kujiunga...
Friday, March 30, 2018
AALIYAH WA BEINTEHAA AWASILI DAR KUUPAMBA USIKU WA SZIFF
Friday, March 30, 2018
Msanii wa kike, Preetika Rao maarufu kama 'Aaliyah' baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar ...
POGBA AKIWAHI MAZOEZINI MAN U MECHI NA SWANSEA KESHO
Friday, March 30, 2018
Kiungo Mfaransa, Paul Pogba akiendesha gari lake kuelekea kwenye mazoezi ya klabu yake, Manchester United leo kujiandaa na mchezo wa Ligi...
NEYMAR AANZA KUJIFUA GYM NYUMBANI BRAZIL KUJIWEKA FITI
Friday, March 30, 2018
Mshambuliaji Mbrazil, Neymar akifanya mazoezi gym kujiweka fiti baada ya kuumia kifundo cha mguu mapema mwezi huu na kutakiwa kuwa nje kw...
JOSHUA ALIVYOMTAZAMA KWA HAMU PARKER WAKIPIMA UZITO LEO
Friday, March 30, 2018
Bondia Muingereza bingwa wa WBA na IBF , Anthony Joshua (kushoto) akitazamana na mpinzani wake, Joseph Parker wa New Zealand bingwa wa ...
STAND UNITED YATANGULIA NUSU FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION
Friday, March 30, 2018
Na Alexander Shijja, SHINYANGA TIMU ya Stand United imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup baada ya ush...
EMMANUEL OKWI AREJEA LEO KUKAMILISHA KIKOSI CHA SIMBA SAFARI YA NJOMBE
Friday, March 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI tegemeo wa Simba SC, Emmanuel Okwi anatarajiwa kutua leo nchini na kujiunga na kikosi cha t...
FEISAL YU TAYARI KUTUA POPOTE YANGA AU SINGIDA UNITED, ANAANGALIA MASLAHI
Friday, March 30, 2018
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM KIUNGO chipukizi Mzanzibari, Feisal Salum `Fei Toto` wa JKU ya nyumbani, Unguja amesema kwamba popote anawe...
MTIBWA SUGAR KUWAKOSA BABA UBAYA NA KANONI MECHI NA AZAM KESHO CHAMAZI
Friday, March 30, 2018
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM TIMU ya Mtibwa Sugar ya Morogoro itawakosa wachezaji wake wawili, wote mabeki wa pembeni, Issa Rashid ‘Bab...
Thursday, March 29, 2018
SIMBA SC WAENDA KUWEKA KAMBI IRINGA MECHI NA NJOMBE MJI FC JUMANNE SABA SABA
Thursday, March 29, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SIMBA SC inatarajiwa kuondoka Jumamosi kwenda kuweka kambi Iringa kwa siku mbili kujiandaa na mchezo wa L...
MKUTANO MKUU YANGA KUFANYIKA MEI 5 DAR ES SALAAM KUJADILI MUSTAKABALI MPYA WA KLABU
Thursday, March 29, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Yanga inatarajiwa kufanya Mkutano wake Mkuu wa mwaka Mei 5 mwaka huu katika ukumbi utakaotajwa b...
KIINGILIO NGORONGORO HEROES NA KONGO SH 1,000 TU, TUJITOKEZE KWA WINGI JUMAMOSI TUKAWASAPOTI VIJANA KUFUZU AFCON U-20
Thursday, March 29, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIINGILIO cha katika mchezo wa kwanza wa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON U20) 2019 nc...
ANTHONY JOSHUA ALIVYO TAYARI KWA PAMBANO LAKE LA JUMAMOSI
Thursday, March 29, 2018
Bondia Anthony Joshua akitabasamu wakati anawatazama mashabiki 1,000 alipojitokeza hadharani jana ukumbi wa St David's Hall mjini C...
Wednesday, March 28, 2018
MTOTO WA WEAH AWEKA REKODI TIMU YA TAIFA YA MAREKANI
Wednesday, March 28, 2018
MTOTO wa Rais wa wa Liberia, George Weah aitwaye Timothy 'Tim' Weah akiwa na umri wa miaka 18 jana ameichezea kwa mara kwanza timu ...
NGOMA ANAENDELEA KUIMARIKA KAMBINI YANGA MOROGORO KUELEKEA MECHI NA SINGIDA JUMAPILI
Wednesday, March 28, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI Mzimbabwe wa Yanga SC, Donald Ngoma anaendelea kuimarika katika kambi ya timu hiyo mjini Mor...
MKUDE KURUDI MAZOEZINI KESHO SIMBA, MANARA ASEMA KIJANA HAJAUMIA SANA
Wednesday, March 28, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO wa Simba SC, Jonas Mkude anaweza kuendelea na mazoezi kesho baada ya kuumia kifundo cha mguu juzi....
KICHUYA ASEMA SHUGHULI YAKE YA JANA NI SALAMU KWA NJOMBE MJI FC
Wednesday, March 28, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WINGA wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya Simba, Shiza Kichuya amesema kwamba ana hamu Ligi Kuu ya Vodac...
STARS NA CHUI WA KONGO KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA
Wednesday, March 28, 2018
Mshambuliaji wa Tanzania na Nahodha, Mbwana Samatta (kulia) akiwatoka wachezaji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika mchezo w...
Subscribe to:
Posts (Atom)