Mark Kitching wa Rochdale akiruka juu kuondosha mpira kwa kichwa kwenye boksi la penalti la timu yake hiyo ya Daraja la Kwanza katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la FA England uliomalizika kwa sare ya 2-2 leo Uwanja wa Crown Oil Arena mjini Rochdale, Greater Manchester. Mabao ya Rochdale yalifungwa na Ian Henderson dakika ya 49 na Steve Davies dakika ya 90 ma ushei, wakati ya Spurs yalifungwa na Lucas Moura dakika ya 59 na Harry Kane kwa penalti dakika ya 88. Timu hizo sasa zitarudiana Uwanja wa Wembley kutafuta nafasi ya kwenda Robo Fainali, ambako watakutana na mshindi kati ya Sheffield Wednesday au Swansea mwezi ujao PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tiger Woods hugs ex-wife Elin Nordegren after competing with their son
Charlie in Florida golf event
-
Tiger Woods was caught on camera sharing a warm embrace with his ex-wife
Elin Nordegren moments after he and son Charlie finished runners up at the
PNC Cha...
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment