// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MTOTO WA DROGBA AFUATA NYAYO ZA BABA, ASAINI LIGUE 1 UFARANSA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MTOTO WA DROGBA AFUATA NYAYO ZA BABA, ASAINI LIGUE 1 UFARANSA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Tuesday, February 20, 2018

        MTOTO WA DROGBA AFUATA NYAYO ZA BABA, ASAINI LIGUE 1 UFARANSA

        Isaac Drogba (kushoto), mwenye umri wa miaka 17, mtoto wa gwiji wa soka, Didier Drogba akikabidhiwa jezi ya klabu yake mpya, Guingamp ya Ligue 1 jana moja ya timu alizochezea baba yake mwanzoni mwa maisha yake ya soka nchini Ufaransa. Drogba mkubwa alijiunga na Guingamp akiwa ana umri wa miaka 16 tu kwa ada ya uhamisho ya Pauni 80,000 kutoka Le Mans PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MTOTO WA DROGBA AFUATA NYAYO ZA BABA, ASAINI LIGUE 1 UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry