Sadio Mane akiruka juu kushangilia kwa mbwembwe baada ya kuifungia Liverpool bao la nne dakika ya 77 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya West Ham United leo Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Wekundu hao yamefungwa na Emre Can dakika ya 29, Mohamed Salah dakika ya 51 na Roberto Firmino dakika ya 57, wakati la Wagonga Nyundo limefungwa na Michael Antonio dakika ya 59, Liverpool ikipanda hadi nafasi ya pili kwa kufikisha pointi 57 baada ya kucheza mechi 28, ikiishusha Manchester United yenye pointi 56 za mechi 27, wote wakiwa nyuma ya Manchester City inayoongoza kwa pointi zake 72 za mechi 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tiger Woods hugs ex-wife Elin Nordegren after competing with their son
Charlie in Florida golf event
-
Tiger Woods was caught on camera sharing a warm embrace with his ex-wife
Elin Nordegren moments after he and son Charlie finished runners up at the
PNC Cha...
9 minutes ago
0 comments:
Post a Comment