Mshambuliaji mpya wa Chelsea, Mfaransa Olivier Giroud (kushoto) akitembea kinyonge na mchezaji mwenzake, Mbelgiji Eden Hazard baada ya kufungwa mabao 4-1 na Watford leo Uwanja wa Vicarage Road mjini Watford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao ya Watford yamefungwa na Troy Deeney dakika ya 42 kwa penalti, Daryl Janmaat dakika ya 84, Roberto Pereyra dakika ya 82 na Gerard Deulofeu dakika ya 90 na ushei, huku la The Blues iliyomaliza pungufu baada ya Tiemoue Bakayoko kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 30 baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano likifungwa na Eden Hazard dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Lakers vs. Hornets Postponed Due to Los Angeles Wildfires; Game Will be
Rescheduled
-
The NBA announced Thursday's game between the visiting Charlotte Hornets
and Los Angeles Lakers was postponed because of the ongoing wildfires in
the L.A.…
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment