Nyota wa Real Madrid, Gareth Bale akipambana kumpita mchezaji wa Espanyol, David Lopez (kushoto) katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumanne Uwanja wa RCDE. Espanyol imeshinda 1-0 bao pekee la Gerard Moreno dakika ya 90 na ushei. Leo Real ilimpumzisha nyota wake, Cristiano Ronaldo kuelekea mechi ya marudiano ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa na wenyeji, Paris Saint Germain PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tiger Woods hugs ex-wife Elin Nordegren after competing with their son
Charlie in Florida golf event
-
Tiger Woods was caught on camera sharing a warm embrace with his ex-wife
Elin Nordegren moments after he and son Charlie finished runners up at the
PNC Cha...
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment