Mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa akisikitika baada ya kupoteza moja ya nafasi nzuri za kufunga kwenye mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Saint Louis Suns United ya Shelisheli jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Chirwa hakuwa mwenye bahati jana Yanga ikipata ushindi mwembamba wa 1-0
Chirwa alikosa hadi penalti mapema kipindi cha kwanza
Hapa alikuwa anasikitika baada ya kupiga nje kipindi cha pili akiwa anatazama na lango
Kipa wa Saint Louis Suns United, Michael Ramandimius akiwa amedaka mbele ya Chirwa
Beki wa Saint Louis akiupitia mpira miguuni mwa Chirwa jana
Predictor review: Find out how our experts fared in gameweek 15 with £1,000
up for grabs each week
-
How did you get on against our expert in Daily Mail Sport's
unmissable Predictor challenge in gameweek 15 of the Premier League?
30 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment