Wednesday, February 28, 2018
YANGA SC YAITANDIKA NDANDA FC 2-1 NANGWANDA…MBIO ZA UBINGWA ZAZIDI KUPAMBA MOTO
Wednesday, February 28, 2018
Na Mwandishi Wetu, MTWARA YANGA SC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Ndanda FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vo...
TAJIRI MUSLAH NA KIJANA WAKE HAJJI SUNDAY WAKIPATA BURUDANI YA 5-0
Wednesday, February 28, 2018
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Muslah Al Ruwaih (katikati) akiwa na viongozi wenzake, Ally Suru (kulia) na Hajji Sunday Manara wa...
'KAPTENI' HIMID MAO AREJEA KUONGEZA NGUVU AZAM FC BAADA YA KUPONA
Wednesday, February 28, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WACHEZAJI wawili wa Azam FC, Nahodha Himid Mao ‘Ninja’ na mshambuliaji Wazir Junior, wamerejea rasmi mazo...
YANGA KUVUNJA MWIKO WA KUTOIFUNGA NDANDA FC NANGWANDA LEO?
Wednesday, February 28, 2018
REKODI YA YANGA NA NDANDA FC P W D L GF GA GD Pts Ndanda FC 8 3 3 2 8 4 4 10 ...
BILA RONALDO NA REAL MADRID YACHAPWA KIMOJA TU
Wednesday, February 28, 2018
Nyota wa Real Madrid, Gareth Bale akipambana kumpita mchezaji wa Espanyol, David Lopez (kushoto) katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumann...
Tuesday, February 27, 2018
WARUNDI KUICHEZESHA YANGA DHIDI YA TOWNSHIP ROLLERS
Tuesday, February 27, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Afrika(CAF) limewataja waamuzi kutoka Burundi kuwa ndio watachezesha mchezo wa Ligi ya...
MAREFA WA AFRIKA KUSINI KUCHEZESHA SIMBA SC NA EL MASRY
Tuesday, February 27, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) imewapanga waamuzi kutoka nchini Africa Kusini kuchezesha mchezo wa Kombe...
NGORONGORO HEROES KUANZA NA DRC KUFUZU FAINALI ZA AFCON U-20
Tuesday, February 27, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes imepangwa kucheza na Jamhuri ya Kidemokrasia...
TWIGA STARS KUCHEZA NA ZAMBIA AFCON YA WANAWAKE
Tuesday, February 27, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars itacheza na Zambia katika mchezo wa kufuzu fainali za ...
CAF YATAJA WATANZANI SITA KUCHEZESHA NA KUSIMAMIA MECHI LIGI YA MABINGWA NA KOMBE LA SHIRIKISHO
Tuesday, February 27, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MAREFA wanne wa Tanzania wameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Africa(CAF) kuchezesha mchezo wa kom...
KAMATI YA MAADILI YAWAFUNGIA VIONGOZI MVUVUMWA KWA KUGHUSHI LESENI ZA WACHEZAJI
Tuesday, February 27, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Maadili ya TFF ilIyokutana Februari 3, 2018 na Februari 17,2018, katika ofisi za TFF Karume,Pam...
SHABIKI HUYU WA SIMBA NINI KILIMSIBU JANA?
Tuesday, February 27, 2018
Wapenzi wa klabu ya Simba wakiwa wamembeba mwenzao wa kike aliyepoteza fahamu jana wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara d...
MECHI YA SIMBA NA STAND UNITED YARUDISHWA NYUMA KWA SIKU MBILI, SASA KUPIGWA IJUMAA
Tuesday, February 27, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MCHEZO wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya Simba SC na Stand United ya Shinyanga uliopangwa kuf...
PSG YATHIBITISHA NEYMAR AMEVUNJIKA MFUPA WA MGUU
Tuesday, February 27, 2018
MSHAMBULIAJI Neymar yuko shakani kuichezea Paris Saint-Germain katika mechi ya marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi...
HERRERA WA MAN UNITED HATARINI KWENDA JELA MIAKA MINNE
Tuesday, February 27, 2018
KIUNGO wa Manchester United , Ander Herrera anakabiliwa na mashitaka ya kiungo cha miaka minne jela nchini Hispania kwa tuhuma za kupanga...
WENGER SASA SAFARI IMEIVA ARSENAL, WA KUMRITHI WATAJWA
Tuesday, February 27, 2018
KLABU ya Arsenal itaitathmini nafasi ya Arsene Wenger mwishoni mwa msimu — kukiwa na uwezekano wa kuhitimisha miaka 22 ya Mfaransa huyo. ...
SIMBA NA MBAO FC KATIKA PICHA JANA TAIFA
Tuesday, February 27, 2018
Mshambuliaji wa Simba SC, Mganda Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Mbao FC, David Mwasa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara j...
BODI YA LIGI YAIPA AHUENI YANGA MAANDALIZI LIGI YA MABINGWA, YAAHIRISHA MECHI NA MTIBWA
Tuesday, February 27, 2018
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MCHEZO wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya wenyeji Mtibwa Sugar na Yanga SC ya Dar es Salaam ul...
SIMBA SC 5-0 MBAO FC
Tuesday, February 27, 2018
Monday, February 26, 2018
PRISONS NA STAND UNITED NAZO ZATINGA ROBO FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP
Monday, February 26, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU za Tanzania Prisons na Stand United zimekamilisha idadi ya timu nane za kucheza hatua Robo Fainali y...
BOCCO AKABIDHIWA TUZO YAKE YA MCHEZAJI BORA WA JANAURI LIGI KUU
Monday, February 26, 2018
Ofisa wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jemadari Said (kushoto) akimkabidhi mshambuliaji na Nahodha wa Simba, John Bocco tuzo ya Mche...
Subscribe to:
Posts (Atom)