Granit Xhaka (kulia) akishangilia na Alexandre Lacazette (kushoto) baada ya kuifungia bao la pili Arsenal dakika ya 60 ikishinda 2-1 dhidi ya Chelsea Uwanja wa Stamford Bridge, London. Chelsea ilitangulia kwa bao la Eden Hazard dakika ya saba, kabla ya Arsenal kusawazisha kwa bao la kujifunga lao Antonio Rudiger dakika ya 12, kufuatia kubabatizwa na mpira uliopigwa na Nacho Monreal. Baada ya sare ya 0-0 kwenye mchezo wa kwanza Stamford Bridge, Arsenal sasa inakwenda Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup ambako itakutana na Manchester City iliyoitoa Bristol City juzi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Five talking points from final round of Six Nations
-
Here's our round-up of the big talking points from the final round of
fixtures in the 2025 tournament.
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment