Makamu Mwenyekiti wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' (kulia) akiwa na viongozi wengine wa timu jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar wakati wa mchezo wa Kundi A Kombe la Mapinduzi dhidi ya Simba SC. Azam ilishinda 1-0
Kulia ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Hajji Sunday Manara akisalimiana na Rais wa heshima wa Azam FC, Jamal Bakhresa 'Bui'
Hapa Popat akiwa na mashabiki wa Azam FC wakati wanarejea Dares Salaam leo kutoka Zanzibar
Tommy Fury reveals the real reason why he split from Molly-Mae Hague
-
Tommy Fury has finally detailed the reasons why he and fiancee Molly-Mae
Hague split.
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment