// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); UNAOWAONA NI MABOSI WA ARSENAL WANASHANGAA GARI LA AUBAMEYANG UJERUMANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE UNAOWAONA NI MABOSI WA ARSENAL WANASHANGAA GARI LA AUBAMEYANG UJERUMANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Tuesday, January 23, 2018

        UNAOWAONA NI MABOSI WA ARSENAL WANASHANGAA GARI LA AUBAMEYANG UJERUMANI

        Mtendaji Mkuu wa Arsenal, Ivan Gazidis na Mkuu wa Usajili, Sven Mislintat wakilishangaa gari la Aubameyang aina ya Porsche Panamera PICHA ZAIDI GONGA HAPA  


        Porsche Panamera Turbo Techart 

        GHARAMA: Pauni 132,000
        UFUFUJI: 0-60mph in 3.9secs
        SPIDI: 182mph  
        MSAFARA wa Arsenal uliotumwa kwenda kushughulikia usajili Pierre-Emerick Aubameyang kutoka Borussia Dortmund umejionea mfumo wa maisha ya kifahari ya mchezaji huyo.
        Mtendaji Mkuu wa Arsenal, Ivan Gazidis na Mkuu wa Usajili, Sven Mislintat walipigwa picha mjini Dortmund wakiondoka kwenye gari kuingia kwenye mkutano na viongozi wenzake wa timu ya Ujerumani kuzungumzia uhamisho wa mchezaji huyo kumpelekea Ligi Kuu ya England.
        Na picha zimetokea zikiwaonyesha Gazidis na Mislintat wakizungumza na kulishangaa gari la kifahari aina ya Porsche Panamera Turbo Techart ambalo linamilikiwa na Aubameyang, mtu wanayetumaini kurejea naye Arsenal.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: UNAOWAONA NI MABOSI WA ARSENAL WANASHANGAA GARI LA AUBAMEYANG UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry