Mshambuliaji Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 50 na 71 katika ushindi wa kwanza wa ugenini dhidi ya Real Sociedad tangu mwaka 2007, wakitoka nyuma kwa 2-0 na kushinda 4-2 usiku wa jana Uwanja wa Manispaa ya Anoeta, Donostia-San Sebastian. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Paulinho dakika ya 39 na Lionel Messi dakika ya 85, wakati ya Real yalifungwa na Willian Jose dakika ya 11 na Juanmi dakika ya 34 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Evgeni Malkin's 3 Penguins Stanley Cup Rings Missing After Home Burglary
-
The three Stanley Cup rings earned by Pittsburgh Penguins star Evgeni
Malkin were stolen during a home break-in Saturday, according to Jennifer
Borrasso, M...
23 minutes ago
0 comments:
Post a Comment