Wachezaji wa Simba wakiwa mazoezini leo Uwanja wa mjini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wao wa kwanza wa duru la Pili la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumapili dhidi ya Ruvu Shooting Uwanja wa Taifa Jijini
Nahodha John Bocco akimtoka Paul Bukaba mazoezini
Ally Shomary akimpita beki Mghana, Asante Kwasi
Kipa Aishi Manula akijiweka sawa kudaka mpira
Kocha Msaidizim Masoud Juma akikimbia mazoezini
Shiza Kichuya akipiga mpira mbele ya Paul Bukaba
Five talking points from final round of Six Nations
-
Here's our round-up of the big talking points from the final round of
fixtures in the 2025 tournament.
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment