// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MKHITARYAN ALIVYOANZA MAISHA MAPYA ARSENAL LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MKHITARYAN ALIVYOANZA MAISHA MAPYA ARSENAL LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Tuesday, January 23, 2018

        MKHITARYAN ALIVYOANZA MAISHA MAPYA ARSENAL LEO

        Mchezaji mpya wa Arsenal, Henrikh Mkhitaryan akifanya mazoezi na wenzake kwa mara ya kwanza leo asubuhi kufuatia kukamilisha uhamisho wake wa kubadilishwa na Alexis Sanchez aliyehamia Manchester United. Nyota huyo wa Armenia amepewa jezi namba saba ambayo alikuwa anavaa Sanchez PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MKHITARYAN ALIVYOANZA MAISHA MAPYA ARSENAL LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry