// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAZISHI YA ISMAIL SUMA YALIVYOKUWA NCHINI BURUNDI LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAZISHI YA ISMAIL SUMA YALIVYOKUWA NCHINI BURUNDI LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Tuesday, January 23, 2018

        MAZISHI YA ISMAIL SUMA YALIVYOKUWA NCHINI BURUNDI LEO

        Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Ismail Suma (picha ndogo juu kulia), kipa wa zamani wa kimataifa wa Tanzania aliyedakia klabu mbalimbali zikiwemo Simba na Yanga ukipelekwa makaburini kwa mazishi mjini Bujumbura, Burundi leo 
        Waumini wa Kiislamu na jamaa wakiwa mbele ya kaburi tayari kumhifadhi marehemu Suma katika nyumba yake ya milele  
        Hili ndilo kaburi ambalo amezikwa Ismail Suma aliyekuwa anacheza soka Burundi 
        Hapa mwili wa Ismail Suma ukifanyiwa sala  
        Jeneza la marehemu likipakiwa katika gari kwa safari ya makaburini
        Jamaa wakiwa wamelishikilia jeneza la marehemu Ismail Suma kwenye gari
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MAZISHI YA ISMAIL SUMA YALIVYOKUWA NCHINI BURUNDI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry