Mshambuliaji Msenegali, Sadio Mane akikimbia kushangilia na beki wa kushoto, Andy Robertson baada ya kuifungia Liverpool bao la tatu dakika ya 61 katika ushindi wa 4-3 dhidi ya Manchester City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya tisa, Roberto Firmino dakika ya 59 na Mohamed Salah dakika ya 68, wakati ya Man City inayopoteza mechi ya kwanza msimu huu yamefungwa na Leroy Sane dakika ya 40, Bernardo Silva dakika ya 84 na Ilkay Gundogan dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Evgeni Malkin's 3 Penguins Stanley Cup Rings Missing After Home Burglary
-
The three Stanley Cup rings earned by Pittsburgh Penguins star Evgeni
Malkin were stolen during a home break-in Saturday, according to Jennifer
Borrasso, M...
41 minutes ago
0 comments:
Post a Comment