Kiungo Lassana Diarra akiwa ameshika jezi ya Paris Saint-Germain kufuatia kusaini mkataba wa miezi 18 kama mchezaji huru, baada ya kutokuwa na timu kwa muda tangu aondoke Al Jazira. Diarra amewahi kucheza Chelsea, Arsenal na Portsmouth za Ligi Kuu ya England baada ya kuondoka Real Madrid na PSG inakuwa klabu yake ya 10 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Five talking points from final round of Six Nations
-
Here's our round-up of the big talking points from the final round of
fixtures in the 2025 tournament.
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment