Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur mabao mawili dakika za 47 na 59 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Everton usiku wa jana Uwanja wa Wembley London na kuweka rekodi ya mfungaji wa mabao mengi wa muda wote kwenye Ligi Kuu ya England kwa kufikisha mabao 98. Mabao mengine ya Spurs jana yalifungwa na Son Heung-Min dakika ya 26 na Christian Eriksen dakika ya 81 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NBA Rumors: Bucks' Pat Connaughton Mentioned as Potential Deadline Trade
Candidate
-
Pat Connaughton has been a member of the Milwaukee Bucks since the 2018-19
campaign, but that tenure could come to an end this season. Michael Scotto
of…
20 minutes ago
0 comments:
Post a Comment