Beki wa kulia, Hector Bellerin akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la kusawazisha dakika ya 90+2 ikipata sare ya 2-2 na Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London. Arsenal ilitangulia kwa bao la kiungo Jack Wilshere dakika ya 63, kabla ya Chelsea kutoka nyuma na kuongoza kwa 2-1 kwa mabao ya mshambuliaji Eden Hazard dakika ya 67 kwa penalti baada ya yeye mwenyewe kuangushwa na Bellerin na Marcos Alonso dakika ya 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch the insane golf shot in TGL that left Tiger Woods uncontrollably
crying with laughter in his debut
-
If you ever stress about your own golf game, viewing Tuesday night's match
in the TGL may have given you some ease with the knowledge that sometimes
pros m...
14 minutes ago
0 comments:
Post a Comment