// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); GRIEZMANN HOI, ATLETICO YANG'OLEWA KOMBE LA MFALME - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE GRIEZMANN HOI, ATLETICO YANG'OLEWA KOMBE LA MFALME - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Wednesday, January 24, 2018

        GRIEZMANN HOI, ATLETICO YANG'OLEWA KOMBE LA MFALME

        Mshambuliaji wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann akisikitika baada ya kupoteza nafasi ya kufunga usiku wa jana Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan wakifungwa 3-1 na wenyeji Sevilla katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Kombe la Mfalme na kutolewa kwa jumla ya mabao 5-2 kufuatia kufungwa pia 2-1 kwenye mchezo wa kwanza nyumbani kwao. Mabao ya Sevilla yalifungwa na Sergio Escudero dakika ya kwanza, Ever Banega dakika ya 48 na Pablo Sarabia dakika ya 79, wakati la Atletico lilifungwa na Griezmann dakika ya 13 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: GRIEZMANN HOI, ATLETICO YANG'OLEWA KOMBE LA MFALME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry