Mkurugenzi wa Azam FC, Yussuf Bakhresa (kulia) akimkabidhi Kombe Mkurugenzi wa NMB, Ineke Bussemaker baada ya hafla ya benki hiyo kuongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuidhamini klabu hiyo kwa mwaka wa tano iliyofanyika makao makuu ya taasisi hiyo ya kifedha mjini Dar es Salaam leo
Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdul Mohammed akimkabidhi jezi ya timu, Mkurugenzi wa NMB, Ineke Bussemaker
Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdul Mohammed akibadilishana nyaraka na udhamini na Mkurugenzi wa NMB, Ineke Bussemaker
Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdul Mohammed akisaini mkataba na Mkurugenzi wa NMB, Ineke Bussemaker. Kulia ni Mkurugenzi wa Azam Fc, Yussuf Bakhresa.
Hapa ni Mkurugenzi wa NMB, Ineke Bussemaker na Nahodh wa Azam FC, Himid Mao (kulia)
2026 WCQ: Super Eagles Kigali camp brace up with 12 players
-
By Seyi Babalola Six additional players have arrived at the Super Eagles’
Radisson Blu Hotel camp in Kigali ahead of the 2026 FIFA World Cup
qualifier ag...
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment