Wachezaji wa Arsenal wakierejea katikati kinyonge kuanzisha mpira baada ya kufungwa bao la tatu katika kipigo cha 4-2 mbele ya wenyeji, Nottingham Forest katika mchezo wa Raundi ya Tatu ya Kombe la FA leo Uwanja wa The City Ground mjini Nottingham, Nottinghamshire. Arsenal waliokuwa mabingwa watetezi wanavuliwa ubingwa na kutolewa na timu hiyo ya Daraja la Kwanza, Championship. Mabao ya Nottingham yamefungwa na Eric Lichaj mawili dakika ya 20 na 44, Ben Brereton kwa penalti dakika ya 64 na Kieran Dowell kwa penalti pia dakika ya 85, wakati ya Arsenal yamefungwa na Per Mertesacker dakika ya 23 na Danny Welbeck dakika ya 79 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England remain winless after T20 defeat seals Ashes for Australia
-
England remain winless in the Women's Ashes as Australia edge a
rain-affected thriller in Canberra by six runs.
12 minutes ago
0 comments:
Post a Comment