Wednesday, January 31, 2018
Wachezaji wa Simba wakiwa mazoezini leo Uwanja wa mjini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wao wa kwanza wa duru la Pili la Ligi Kuu ya Vo...
MICHY BATSHUAYI AKABIDHIWA RASMI MIKOBA YA AUBAMEYANG
Wednesday, January 31, 2018
Mshambuliaji Michy Batshuayi akiwa ameshika jezi ya Borussia Dortmund baada ya kukamilisha uhamisho wa mkopo kutoka Chelsea kuziba peng...
MTIBWA SUGAR, PRISONS, MAJI MAJI NAZO ZATINGA 16 BORA AZAM SPORTS FEDERATION
Wednesday, January 31, 2018
Na Mwandishi Wetu, LINDI TIMU ya Mtibwa Sugar imefanikiwa kwenda hatua ya 16 Bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup baada ya ushin...
GIROUD AKAMILISHA UHAMISHO WAKE CHELSEA KUTOKA ARSENAL
Wednesday, January 31, 2018
KLABU ya Chelsea imekamilisha uhamisho wa mshambuliaji Oliver Giroud kutoka Arsenal kwa dau la Pauni Milioni 18. The Gunners wamekubali ...
TFF YAJISAFISHA MADAI YA KUTOZILIPA TIMU FEDHA ZA UDHAMINI AZAM SPORTS FEDERATION CUP
Wednesday, January 31, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesikitishwa na kauli iliyotolewa na golikipa wa timu ya Shupavu ya M...
‘MWENYEKITI YANGA’ AFUNGIWA MWAKA MZIMA KWA KUIKASHIFU TFF
Wednesday, January 31, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemfungia kutojihusisha na shughuli za mpira wa m...
OZIL AKUBALI KUJITIA PINGU ARSENAL KWA MIAKA MITATU MINGINE
Wednesday, January 31, 2018
KIUNGO mshambuliaji Mesut Ozil amekubali kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea Arsenal kwa mshahara wa Pauni 300,000 kwa wiki. Mch...
REKODI YA ALEXIS SANCHEZ UWANJA WA WEMBLEY INATISHA
Wednesday, January 31, 2018
MSHAMBULIAJI Alexis Sanchez anatarajiwa kuichezea Manchester United mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu ya England itakapomenyana na Tottenham...
PERRE-EMERICK AUBAMEYANGA NI MCHEZAJI MPYA WA ASRENAL
Wednesday, January 31, 2018
KLABU ya Arsenal imekamilisha uhamisho wa rekodi wa Pauni Milioni 56 wa mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang kutoka Borussia Dortmun...
ARSENAL YATHIBITISHA KWA 'BAHATI MBAYA' KUMSAJILI AUBAMEYANG
Wednesday, January 31, 2018
KLABU ya Arsenal kwa 'bahati mbaya' imejikuta ikithibitisha kumsajili mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang baada ya kuposti ki...
KOCHA MAYANGA KWA RAHA ZAKE NA WAZUNGU WAKE
Wednesday, January 31, 2018
Kocha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Salum Mayanga (kulia) akifurahia na rafiki zake wa kigeni Jumamosi Uwanja wa Aza...
MTIBWA SUGAR WANA KAZI NA MAJI MAJI YA LINDI ILULU, ‘TP LINDANDA’ NA STAND UNITED KIRUMBA
Wednesday, January 31, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM HATUA ya 32 Bora ya michuano ya Azam Sports Federetion Cup (ASFC) inaendelea leo kwa mechi sita zaidi kuc...
MAN UNITED YAMUONGEZEA MKATABA JUAN MATA HADI 2019
Wednesday, January 31, 2018
KLABU ya Manchester United imemuongezea mkataba wa mwaka mmoja Juan Mata ambao utamalizika Juni 2019. Kocha Mreno, Jose Mourinho amezungumz...
SAMATTA AREJEA NA PASI YA BAO GENK YAFUNGWA 3-2 KOMBE LA UBELGIJI
Wednesday, January 31, 2018
Na Mwandishi Wetu, GENK MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta jana ametoa pasi ya bao la kwanza la timu yake, KRC Genk iki...
LIVERPOOL YAIKANDAMIZA HUDDERSFIELD TOWN 3-0 LIGI KUU ENGLANG
Wednesday, January 31, 2018
Emre Can akiruka juu kushangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 26 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Huddersfield Town U...
IHEFU 1-1 YANGA SC (PENALRI 3-4)
Wednesday, January 31, 2018
ARSENAL TAABANI LIBERTY...WAFUMULIWA 3-1 KAMA WAMESIMAMA
Wednesday, January 31, 2018
Wachezaji wa Arsenal, Olivier Giroud na Aaron Ramsey wakiwa wanyonge baada ya kufungwa bao la tatu na Swansea City katika mchezo wa Ligi ...
Tuesday, January 30, 2018
MANCHESTER CITY YAMSAJILI LAPORTE KWA DAU LA REKODI
Tuesday, January 30, 2018
Beki wa kati, Aymeric Laporte akimbusu mpenzi wake Sara Botello huku ameshika jezi ya Manchester City baada ya kukamilisha uhamisho wa ...
EMERSON RALMIERI TAYARI NI MCHEZAJI MPYA WA CHELSEA
Tuesday, January 30, 2018
Beki Emerson Palmieri akiwa akikabidhiwa jezi ya Chelsea na Mkurugenzi wa klabu, Marina Granovskaia baada ya kukamilisha uhamisho wa Pa...
ROSTAND AIPELEKA YANGA 16 BORA KOMBE LA AZAM SPORTS FEDERATION
Tuesday, January 30, 2018
Na Gwamaka Mwankota, MBEYA KIPA Mcameroon, Youthe Rostand leo ameibuka shujaa wa Yanga baada ya kupangua penalti tatu na kuiwezesha kuingi...
AUBAMEYANG APANDA NDEGE DORTMUND KWENDA LONDON
Tuesday, January 30, 2018
UHAMISHO wa Pierre-Emerick Aubameyang kwenda Arsenal kwa Pauni Milioni 55 kutoka Borussia Dortmund unakaribia baada ya mshambuliaji huy...
PETER APIGA HAT TRICK AZAM FC YAITANDIKA SHUPAVU 5-0 ASFC MOROGORO
Tuesday, January 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, MOROGORO AZAM FC imetinga hatua ya 16 Bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 4-0 dhi...
TUMBA ALIYEIBUKIA AZAM AKANG’ARA COASTAL NA MBEYA CITY ASAINI MIAKA MIWILI TIMU YA KENYA
Tuesday, January 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BEKI Mtanzania, Tumba Lui Swedi amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu ya Wazito FC ya Kenya k...
YANGA NA IHEFU LEO MBEYA, AZAM NA SHUPAVU JAMHURI KOMBE LA TFF
Tuesday, January 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MECHI za Hatua ya 32 Bora Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) zinatarajiwa kuanza leo kwa vigogo, ...
MAN UNITED KUIVAA HUDDERSFIELD AU BIRMINGHAM KOMBE LA FA
Tuesday, January 30, 2018
Alexis Sanchez (kulia) alianza kuichezea Manchester United katika Kombe la FA Ijumaa PICHA ZAIDI HAPA RAUNDI YA TANO YA KOMBE L...
STURRIDGE ATUA KWA MKOPO WEST BROMWICH ALBION
Tuesday, January 30, 2018
Mshambuliaji Daniel Sturridge akiwa amevaa jezi ya West Bromwich Albion baada ya kukamilisha uhamisho wa mkopo kutoka Liverpool PICHA ...
Monday, January 29, 2018
BEKI WA ZAMALEK ASAINI KWA MKOPO WEST BROMWICH ALBION
Monday, January 29, 2018
KLABU ya West Bromwich Albion imemsajili beki Mmisri, Ali Gabr kwa mkopo kutoka Zamalek hadi mwishoni mwa msimu. Klabu hiyo ya Ligi Ku...
Subscribe to:
Posts (Atom)